Sale!

Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimu Jamii

KSh380.00 KSh350.00

Mwongozo wa kutahini  Sarufi na  Isimujamii  ni  kitabu muhimu  kwa wanafunzi wa shule za upili.Kitabu  hiki kitamwezesha mwanafunzi   kutambua mbinu zinazotumika kutahini sarufi na  isimujamii.

 

19 in stock

SKU: sarufi1 Category: Tag:

Description

Title: Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimujamii.

Author: Newton Mawira

Pages: 100

Publisher: Self-published

ISBN: 9789966804556

SIZE: A5

 

UTANGULIZI

Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimujamii ni kitabu kidogo ambacho kimeandikwa kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kujitahini wao wenyewe.

Maswali yamepangwa vizuri kwa kuangazia mbinu mbalimbali za kutahini zinazotumika katika karatasi ya pili ya mtihani wa kitaifa.

Kitabu hiki kitawafaa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi kidato cha nne.Wanafunzi wa kidato cha nne watafaidika sana wanapojitayarisha kuufanya mtihani wa kitaifa (KCSE).

Walimu watakitumia kutunga maswali ya mitihani na kutayarisha mazoezi ya lugha darasani.

Mwandishi ameshughulikia vipengele vyote vya matumizi ya lugha na isimujamii kulingana na silabasi ya Kiswahili.

Additional information

Weight 0.05 kg
Dimensions 11 × 15 cm

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mwongozo wa Kutahini Sarufi na Isimu Jamii”

Your email address will not be published. Required fields are marked *